Tangazo

April 30, 2016

SHIRIKA LA UMEME TANZANIA TANESCO LAZINDUA ''TANESCO HUDUMA

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)  Mhandisi Felchesmi Mramba (kulia) akizungumza na Waandishi,viongozi wa Tanesco Dar es Salaam jana wakati wa Uzinduzi wa 'Tanesco Huduma' zilizoboreshwa kwa wananchi ,wateja wanaotumia simu za mkononi za kisasa katika mfumo uliotengenezwa  COSTECH.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)  Mhandisi Felchesmi Mramba (katikati) akizungumza.Wengine  kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Tanzania Commission for Science and Technology (COSTECH),Hassan Mshinda na Ofisa Mtendaji Mkuu wa DTBi,George Mulamula.
 kiongozi wa Tanesco akizungumza.
 Wataalamu wa COSTECH wakipangalia mtandao.
 Maofisa wa Tanesco wakijadiliana jambo.
 Mtaalamu wa Mtandao COSTECH,Godfrey Magila akizungumza na kufafanua.
 Wataalamu wa Mtandao wa COSTECH
Viongozi wa Tanesco na Tume ya sayansi na Teknolojia COSTECH wakifurahia jambo.

Kwa Ufupi.
Tanesco imezindua 'Tanesco Huduma' Itakayoboresha huduma kwa  wananchi, kuwasilisha Taarifa kwa kutumia simu za mkononi za kisasa kwa mtu binafsi au kundi katika mitaa wanayohishi.Kutakuwa na mfumo utakaokujulisha mambo mbalimbali ya Shirika hilo,Katika majaribio yameanza kwenye mkoa wa tanesco wa Kinondoni.

No comments: