Tangazo

July 29, 2015

EDWARD NGOYAI LOWASSA SASA RASMI CHADEMA

Waziri Mkuu wa Mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa na mkewe mama Regina Lowassa Julai 28.2015, wamejiunga na Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema.

 Mh. Edward Lowassa akiwa katika hadhara ya mamia kujibu maswali katika Hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam.

No comments: