Tangazo

July 30, 2012

NAPE AMZIKA MBUNGE WA ZAMANI WA KILOSA

 Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, CCM, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na Mkuu wa mkoa wa Moropgoro, Joel Bendera (kulia) wakishiriki kubeba jeneza lenye mwili wa mbunge wa zamani wa jimbo la Kilosa na Mwenyekiti wa mkoa huo, Alhaji Abdallah Shaweji, wakati wa mazishi yaliyofanyika leo,  Wami Dakawa, wilayani Mvomelo, Morogoro. Alhaji Shaweji alifariki jana. (Picha na Bashir Nkoromo).

No comments: