Tangazo

February 17, 2012

ABOOD BUS LAPATA AJALI MAENEO YA MBEZI

Basi la kampuni ya Abood likiwa limepinduka maeneo ya Mbezi wakati likitoka Mkoani Morogoro kuelekea Dar es salaam asubuhi ya leo Februari 17.12. Chanzo cha ajali hiyo inasemekana ni kutokana na dereve kuovertake gari mbele na hatimaye kumshinda na kupinduka.

Wananchi wakitazama jinsi basi la Abood lilivyopinduka huku wengine wakiokoa abiria waliopo kwenye basi hilo asubuhi ya leo. Picha kwa Hisani ya  Lukaza Blog- https://josephatlukaza.blogspot.com

No comments: